00D : 00H : 00M : 00S
Dr. Chris Mauki & Ps. Samuel Mpanilehi

Dr. Chris Mauki & Ps. Samuel Mpanilehi

Mnenaji Mgeni & Mwenyeji wa Usiku wa Wanandoa

USIKU WA WANA NDOA • JUMAPILI 27 SEPTEMBA 2026 • SAA 12:00 JIONI • HADI SAA 4:00 USIKU

Usiku wa Wana Ndoa

Ungana na mtaalamu wa mahusiano Dr. Chris Mauki pamoja na Mchungaji mwenyeji Samuel Mpanilehi katika semina ya wanandoa ya kuboresha upendo, mawasiliano na umoja wa kiroho katika ndoa.

Ticket Za Usiku wa Wana Ndoa zinapatika:

1. AICT Nyasho ( Kanisa Kuu) jirani na Mara Sekondari
2. Mk Hotel - Musoma Mjini



HUDUMA UTAKAZO PATA

Chagua kundi lako ili kuhifadhi nafasi. Mchango wako unajumuisha huduma zote za semina.

Maarufu Zaidi

Kiingilio Wanandoa (couple)

TZS 60,000 / Wanandoa
  • Kiingilio cha Wanandoa
  • Chakula Maalum
  • Vinywaji baridi
  • Mafundisho ya ndoa kutoka Dr.Chris Mauki
  • Maswali na Majibu (Ndoa na mahusiano)
  • Muda wa utulivu na mwenzi wako bila kutumia Simu
  • Ushauri na Mafundisho kutoka kwa
    Dr. Chris Mauki

Kiingilio Mtu Mmoja

TZS 30,000 / Mtu Mmoja
  • Kiingilio kwa Mtu Mmoja
  • Chakula Maalum
  • Vinywaji baridi
  • Mafundisho ya ndoa kutoka Dr.Chris Mauki
  • Maswali na majibu (Ndoa na mahusiano)
  • Muda wa utulivu na mwenzi wako bila kutumia Simu
  • Ushauri na Mafundisho kutoka kwa
    Dr. Chris Mauki

Chakula Maalum

Buffet dinner served

Vinywaji baridi

Soda, Juice na Maji

Mafundisho ya ndoa kutoka Dr.Chris Mauki

Mafundhisho na Ushauri

Namna ya Usajili

Njia za Kufanya Malipo

Tuma malipo yako ya usajili (Wanandoa 60,000/- au Single 30,000/-) kupitia njia yoyote hapa chini::

Lipa kwa simu - VODACOM

352380326

Jina: AICT NYASHO CATHEDRAL
CRDB Bank Account

0150062171502

Account Name: AICT Musoma

Usajili wa Usiku wa Wanandoa

Jaza taarifa zako ili kuthibitisha nafasi yako.